Msamaha Kutoka Mkutano Mkuu kwa Wahasiriwa wa tabia mbaya ya Kijinsia katika Dhehebu la UMC

Yakobo5:16 Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidi.

1. Katika kitabu cha Mahazimio cha mwaka wa 2016. Kuna “Mwaliko katika Meza ya Bwana: Mazoezi”. Wakati meza ya Bwana inasherehekewa ni muhimu kuanza na maneno ya mwaliko,ikiwa ni pamoja na kukiri na msamaha. Kama haya yataachwa wale wote waliopo awataweza kuelewa uwazi wa meza ya Bwana au matarajio ya tobba, Msamaha, Uponyaji, na kuingia kwenye Maisha mapya katika Kristo (P.742).
2. Kuomba msamaha ni atua ya kwanza kuelekea kwenye haki-Kukosoa makossa.Kuomba msamaha kwa umma itakuwa atua ya kwanza katika safari ya upatanisho na ukombozi.
3. Watu wengi ambao walionusurika kwa tabia mbaya ya kijinsia hawajasikia msamaha ukiomboa kutoka kwa mtu yeyote wamamlaka katika UMC au msamaha wa taasisi kutoka kwa dhehebu la kimethodist.
4. Kutambua athari inayowapata waathirika wa tabia mbaya ya kijinsia ni hatua muhimu ya kwanza ya uponyaji, haswa kwa wale ambao hawaweza kuweka malalamiko lasmi kwa sababu ya kufugukiwa na muda.
5. Ili jambo la msamaha lina kiri maumivu waliopata waathiriki ambao wanaamini yakwamba kulikuwa na Imani ya dhati iliovujika.
6. Lengo moja ya ombi ili ni kuonyeza tendo la kuvunjika na uyenyekevu kutoka kwa Kanisa.
7. Ombi lili linataja dhambi ya tabia mbaya ya kinjisia na inaonyesha kuwa UMC linakubali jukumu la makossa yoyote ambayo waathirika wamepata kutoka kwa viongozi wa Kanisa wasio makasisi na pia makasisi. 8. Msamaha huu hautaki kukiri dhima ya UMC; Huku America takribani majimbo 35 na Wilaya ya Columbia yana sheria ya kuomba msamaha na upeo wa matumiza anuwai/mengi.

Download Msamaha Kutoka Mkutano Mkuu kwa Wahasiriwa wa tabia mbaya ya Kijinsia katika Dhehebu la UMC PDF

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2023 United Methodist Communications. All Rights Reserved